[Intro]
Pizzo de!
8 Town
[Verse 1]
Cheki cheki cabinet, acha nyama i-marinate, yeah
Nasema cheki cheki cabinet ministers
Wenye mali ya umma, wana-suffocate
Seti seti Mary Jane, gethaa ya ku-medicate, yeah
Nasema seti mbele medicine
Hio ganja i-meditate high court advocate
Hii utamu yote money, maisha inatupelekanga rat race
Salamu zangu zote handshake, bars kalamu zangu zote heartless
Fahamu zangu, mattress kalisha, we ni my guest
Kabla ni-spit, kwanza mic check, right then
Kesho is another day, yeah
[Chorus]
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day (Fire, fire, fire, fire)
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
[Verse 3]
Rada rada, punguza kuranda randa
Panda panda nganya, 111
Saba saba, mara 77
Sana sana, wavy, Mombasa raha
Dish kwa sahani, bilas, bill za zamani, hillas
Deals za maganji, killer, keja kifahari, villas
Traphouse mi hu-chill na ma-dealer
Vako za ku-grill mamacita
Ego shit, una-negotiate
Na hii ndio ile time inakuwa mi na we tu-negotiate (Fire, fire, fire, fire)
Me ndio king, sina sling, zako bling
Niki-blink una-go missing
Cheki ring, na ni big, nina gang
Tuki-bang, mna-go missing
[Chorus]
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day (Fire, fire, fire, fire)
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
[Verse 3]
Nasema kesho, kesho pia ni siku
Kesho pia ni siku, kesho pia ni siku
Nasema moro, moro pia ni siku
Moro pia ni siku, moro pia ni siku
Corona iko njei, jikinge
Ambia upinzani ijipinge
Unadai we buda nipige
It's another one, sema i-ingine
Niko manjaa, chai, nipe majani
Na nime-jam, vela itani-calm down
Na nime-chill niki-drill
Ana-spit aki-scream, "Baby, baby, baby come now"
Ame-bow down, aka-tap out
Ni P-I-double Z, O-O-O-Ohh
[Chorus]
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day (Fire, fire, fire, fire)
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata, ukikosa
Tomorrow is another day
[Outro]
Ayo, this is dedicated to everyone out here, man
Pereka hiyo, nasema hii manze iko dedicated kwa kila msee mwenye ako hapo njei, bana, anasukuma hustle
Usiwahi choka, bana
Leo usipo-get, kesho uta-get
Rada chafu manze, jo