Zuchu
Nisamehe
[Verse 1]
Kukuhini Kusiokwisha
Kumeangukia Pemani
Roho Yanidadarika
Kashantoka Shetwani
Nimeumbiwa Makosa
Mwanadamu Na Mimi
Moyo Umekunja Ndita
Nakumiss Jamani

[Bridge]
Ngumu Safari
Nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Ukakosa Seat
Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eh!
Nikajiveka Mashati
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi
Na Wema Hakosi Eeeh Eh!

[Chorus]
Nisamehe Nisamehe
Nisamehe Nisamehe

[Verse 2]
Eeeh!
Chozi Dibwidibwi
Nachanganyikiwa
Na Vilio Sishikiki
Niko Magharibi
Lizamapo Jua
Wewe Upo Mashariki
Zawadi Vipochi
Vijuisi Vipipi
Nazimiss Chocolate
Nimekoma Dear
Nilivyonyongea
Huba Zako Sizipati
Tabibu
Kunikomesha Umepata
Toto la Kitanga
Sababu
Umeichoka Jeuri Yangu
Ya Kipemba
Lile Gubu
Limeniisha Kabisa
Baby Hali Nanga
Aibu
Wananicheka Wajinga
Rudi Nakuomba
[Bridge]
Ngumu Safari
Nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Ukakosa Seat
Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eeh Eh!
Nikajiveka Mashati
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi
Na Wema Hakosi Eeeh Eh!

[Chorus]
Nisamehe Nisamehe
Nisamehe Nisamehe

[Outro]
Eeeh!
Nikikaa Nawazaa
Nimuingie Kwa Style Gani
Nimlilie
Niseme Nna Mimba
Kasahau Tshirt Nyumbaani
Nashindwa Kujizuia
Uvumilivu Unanishinda Kwanini
Nikimpigia Kusudi Zake
Na Akipokea
Eti Haloo Wewe Nani?
Iiiiih! Iiiih!
Na Namba Kakupa Nani?
Mara Oooh Kumbe Wewe
Unafanya Issue Gani?
Siku Hiziiiii Iiih!
Me Msanii Anajua
Ina Maana Hanioni?
Kwenye Tv Iiiih!
Aah! Aih Wewe!
Aah! Aih Wewe!