Vanessa Mdee
Niroge(Rap Version)
Howard Billionaire
Longnus Tha Rap Son
VERSE 1
( Longnus Tha Rap Son & Vanessa Mdee)
Follow me girl i go take u Away
Kasoro sinaga i go marry u Today
Do what u do girl i no go Repay
Juju mi now nitunze usiDelay
Hapo mwanzo! Tulisha shindia mabwende
Karanga na makande
Kula ugali kwa mawenge
Ahaaaa!
HOOK
Sitonuna kwa maneno ya majirani Wanoko
I know hawaishi longolongo
Ni wabaya kama viroboto
Ahaaaa!
Maneno kibao ila No Mind Dem
Hawaishi ya kwao girl Go pepe dem..
Tanta ndo zao..
Vurugu za kwao..
Baby!
Gadamn!
CHORUS
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
VERSE 2
Niroge mwenyewe wenzako washachelewa
Nibonge la toto mpaka nimelewa
Unajuwa kuteach hadi naelewa
Mapenzi silaha tosha kuniuwa
Love love yetu IPO kwa sky
Love love I'm feelin to fly
Pole pole mama I'm gonna die
Worry worry tu zakupaga shy
Nikisema ninune ntanuna kwa kipi?
Ukisema uniache utanacha kwa nini?
Ukitaka kusepa utasepa kwa lipi?
Ukitaka watoto utapewa na mimi!
Yeah!
( Longnus Tha Rap Son & Vanessa Mdee)
HOOK
Sitonuna kwa maneno ya majirani Wanoko
I know hawaishi longolongo
Ni wabaya kama viroboto
Ahaaa!
Maneno kibao ila No Mind Dem
Hawaishi ya kwao girl Go pepper dem
Tanta ndo zao
Vurugu za kwao
Gadamn!
CHORUS
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
To the left
Spending
To the right
My life
To the left
Spending
To the right
My life
To the left
Spending
To the right
My life
To the left
Kwani mapenzi matamu
CHORUS
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Eeeeh!
Naomba uniroge
He he heee!
Yeah!
Howard Billionaire
Longnus
Tha rap son
With my lovely sister
To the left to the right
To the left to the right
To the left to the right
To the left
Ha haaa
Yeah!
To the left to the right
To the left to the right
To the left to the right
To the left
Yeah!
He heeee!
Yeah!